Can anyone help me find the lyrics to this song? (And/or any other songs by Fadhili Williams)

Malaika Nakupenda malaika Malaika Nakupenda malaika Ningekuoa mali we Ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaika Pesa Zasumbua roho yangu Pesa Zasumbua roho yangu Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa malaika Kidege Hukuwaza kidege Kidege Hukuwaza kidege Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa malaika Malaika Nakupenda malaika Malaika Nakupenda malaika Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Oh, ningekuoa malaika Nashindwa na mali sina we Yes, I love you my angel I said, I love you my angel Ningekuoa malaika Ningekuoa malaika

/r/swahili Thread Link - i.redd.it